Good short jokes in Kenya: Methali za Wakenya

Good short jokes in Kenya: Methali za Wakenya

 1. Chelewa chelewa, utahata news za saa moja
 2. Mbio za sakafuni hazihitaji viatu
 3. Mbio za siasa huishia state house
 4. Good short jokes in Kenya: Methali za Wakenya
  Good short jokes in Kenya: Methali za Wakenya

  Anayefunzwa na ulimwengu hujua risasi si dengu

 5. Hasira ya jaluo furaha ya Museveni
 6. Ukistaajabu ya musa hujayaona ya Museveni
 7. Dalili ya mvua ni mbio za watu wa Nairobi
 8. Mgaagaa na upwa hula wali na mbwa.
 9. Mwenda Homabay na Rusinga, marejeo ni Migingo.
 10. Mwenda pole, ako na speed governor.
 11. Fahali wawili wakipigana, wa Ikolomani ndio hushinda
 12. Usiuone wembamba wa reli ukadhani haiwezi n’golewa.
 13. Palipo na kuku wengi hapakosi mluhya
 14. Usipo ziba ufa ..mwisi iko chungulia
 15. Palipo na wazee hakuna technology
 16. Mtoto wa nyoka ni bureee buree tu buree kabisa!!
 17. Asiyekubali kushindwa ni Raila
 18. Akili ni Mohawk ujinga ni kipara
 19. Usipoziba woofer utanunua amplifier

Stories related to Good short jokes in Kenya: Methali za Wakenya