Luhya Tribe in Kenya

Luhya Tribe in Kenya

The Luhya Tribe in Kenya has a very rich culture as well as the comic part. Lets have the humorous part.

Luhya Tribe in Kenya
Luhya Tribe in Kenya

Luhya Tribe in Kenya phone-book
These are the names we extracted from a phone book of one Luyha:

1. Chaneti Pipi Mtoko
2. Chochi Taktari
3. Mama Felma Masiwa
4. Pitris Mama Mboka
5. Chackson Funti wa Retio
6. Stifin wa Pucha
7. Mama Prichit Chirani
8. Tominic Mchomba
9. Kefin Pro
10. Chrisdine Mulamwa
11. Rochasi wa Fitio
12. Nekesa wa Pombe
13. Chakob
14. Etwin Funti ya Paiskli
15. Chafwesa wa Pussa
16. Chakiline Tem ya Posco
17. Choisi wa Tefiti
18. Lichoti Fundi wa Ferechi
19. Wanyonyi funti wa pota pota
20. Wepukhulu wa mukhombelo
21. Shivachi wa skara
22. Shirandula wa ingoho

A story of a guy from Luhya Tribe in Kenya

Masaa ilikuwa ni Sato. Nilikuwa na ushungu ya kuenda kwa hii mabo ya Alaine. Upaya sikuwa na silingi hata kamocha cha feya mwana hata kufika ningefika ache? Ilipiti tu nikaombeko kamia kamocha kutoka kwa chirani hapo karipu dio nikafike huko. Kwa roho yake musuri akanipa tu. Nikamushukulu sana na Mungu atamupariki mala mia!

Nilichakua sile nguo ampayo nitasivaa visuli sana. Nikachukua kale kajacket kangu iko na zipa kwa mufuko ndio nisisanyiwe pesa za chirani. Kuenda towni nikachukua ile matatu ya kuenda mpaka Kanifo dio nikaone kale kamurempo kangu Alaine. Kwa gari nikakaa karibu na kamtu kingine kalikuwa kamepepa kapahasha kubwa akaiweka chuu ya miguu yake.

Read also: The Kamba made his own Ugali

More stories related to Luhya Tribe in Kenya