Tunga sentensi ukitumia neno

Tunga sentensi ukitumia neno

Kenyans are the most creative lot. And yesterday I was laughing through and through thanks to some hilarious tweets from the Tunga Sentensi hashtag. The following are the ones that made my day. Credit to all the people who came up with these very hilarious sentences.

Tunga sentensi ukitumia neno
Tunga sentensi ukitumia neno

Tunga Sentensi Ukitumia …

1) Siasa : Omondi, mudodo SI ASA lala

2) Ukurasa : Mwalimu aliandika kwa ubau uku rasa zikituangalia

3) Mutunga : Nani ali MUTUNGA naliaka mimba

4) Mapenzi : Kipaki na mapotikat wake walipita wakiendesha mapenzi kupwa kupwa.

5) Tobiko : Cheptoo, Lab TOB IKO?

6) Kahawa : Jana tulienda kusikiza wabunge huko uhuru park. Sijawahi ona wajinga ka hawa.

7) Chupi : Tukifa, tutaenda CHU PInguni

8) Sinai : Kwenu SI NAI, ni RONGA.

9) MKATE: AliaMKA TEne leo.

10) Maoni : Mwalimu usinichape kwa kuanguka. Hii MAO NI ngumu sana.

11) Basi : Chips funga hupatikana Bar si hoteli

Tunga sentensi ukitumia neno
Tunga sentensi ukitumia neno

12) Uterus : Hawker; “Ukiona kanjo u ter us.”

13) Lucy Kibaki: Makanga nirudishie change loose ikibaki.

14) Matako : Putako yuko? (Hapana) Na Matako?

More stories related to Tunga sentensi ukitumia neno

  • Parsea

    Gazeti. Niliingia kwa bus nikoana dame amepanua miguu gaseti macho nione ndani

  • Just for laugh. i enjoyed reading it. thanks for sharing.