Best Inshas Ever

Best Inshas Ever

One day, the teacher asked students to write an Insha on ‘Umuhimu wa maji’. Let us sample inshas from two students, Mbogo and Akinyi.

Mbogo wrote,

Best Inshas Ever
Best Inshas Ever

Siku moja ng’ombe setu silikuwa simenyota sana . Babangu aliniabia nisitware sikanywe maji. Silipofika, silikuta gatangi ka mai kamegaragario.Ng’ombe sikaanza kuania. Sikaania,sikaania sikaania mpaka babangu akatoka rugongo akakuja kianda. Akaniuliza “Mbogo, kwa nini ng’ombe sinaania hivyo? Nikamwira ni gatangi kamegaragara. Alinichapa Sana Na ndio nikajua umuhimu wa maji.

The teacher gave Mbogo 16/40 marks.

Akinyi wrote,

Samani, siku ule mimi alikuwa sule kama mitoto ndogo, maalim nalikuwa namambia sisi ni maji ni msuri saidi moloyo kwa kurudo mswak, kuoga. kumupa dhian’g, diel na hata kondoro kunywa. Sasa siku moja kama sisi iko pared, maalim olikuja kufanya peksen kwa mitoto yote.

Olipokuwa anapeksen, mitoto moja olipatkana na ochafuuuu! ya singo, maraten’g ti! Omera! mitoto alikula boka, rua! rua! rua!. Na saa huo huo, misichana ilikubwa ya klas ya juu, mara moja omesatumwa gi ndo kukelo pi ya kuosa hii mitoto chaf pared ka! Ai yawa!

Hee! mi na mambia wewe, alioswa na ao ao msichande wakubwa hapo kwa parade duk sikita ,thiringny watu yote akiona.

Best Inshas Ever
Best Inshas Ever

Mimi aliona ayub sana kwa yeye. Chakore chieng’no, mimi olikata suruale ni
fadhal mimi ooge kwa riba dala kusinda kuoswa na msichana sikul, mbele ya pared.
Ni siku mimi otasaau ya kuwa maji en muim!

Akinyi got 32/40!!!!

More stories related to Best Inshas Ever